Fomu Rasmi ya Usajili • 30 Nov – 02 Dec, 2026

KONGAMANO LA MWISHO WA MWAKA KWA VYAMA VYA USHIRIKA WA AKIBA NA MIKOPO (SACCOS)- TANZANIA

MOROGORO Muda: Siku 3 SCCULT (1992) LTD
Hakiki & Tuma

Inapakia hatua...

Hatua 1: Taarifa za Awali & Chama

Jaza majina yako na taarifa za SACCOS unayotoka

Hatua 1 ya 3

Jina hili litaandikwa kwenye cheti chako na kadi ya kuingilia.

Hatua 2: Mawasiliano & Mahali

Weka namba yako ya simu kwa ajili ya kupokea SMS ya cheti na kadi

Hatua 2 ya 3

SMS yenye linki ya cheti na kadi itatumwa kwenye namba hii.

Hatua 3: Hakiki Taarifa Zako Kabla ya Kutuma

Tafadhali kagua taarifa zako kwa makini, hasa majina na namba ya simu.

Hatua ya Mwisho
Majina Kamili (Full Name)
Jina la Chama / SACCOS
Wadhifa / Position & Jinsia
Mkoa wa SACCOS
Namba ya Simu (Kwa SMS ya Cheti)
Barua Pepe (Email)
Baada ya kutuma, utapokea ujumbe wa SMS wenye namba yako ya usajili na kiungo cha kadi ya QR pamoja na cheti cha ushiriki.

Hatua 1: Taarifa za Chama / SACCOS

Jaza taarifa za Taasisi au Chama cha Ushirika kinachosajili washiriki

Hatua 1 ya 3

Hatua 2: Orodha ya Washiriki & Namba zao za Simu

Weka namba ya simu ya kila mshiriki ili kila mmoja apokee SMS yake binafsi yenye link ya cheti chake

Kila mshiriki atapokea SMS yake yenye link ya cheti chake.

Hatua 3: Hakiki Orodha ya Kikundi Kabla ya Kutuma

Hakikisha majina na namba za simu za kila mshiriki zimeandikwa kwa usahihi

Hatua ya Mwisho
Taasisi / SACCOS:
Mkoa:
Jumla ya Washiriki:

Washiriki Wanaosajiliwa & Namba Zao za SMS ():

Utoaji wa Vyeti & Kadi: Kila mshiriki kwenye orodha hii atatumiwa ujumbe wa SMS moja kwa moja kwenye namba yake yenye link ya kupakua kadi yake na cheti chake cha ushiriki.